Recent News

SERIKALI imesema haitasita kumchukulia hatua Mganga Mkuu wa Mkoa au Wilaya atakayebainika kushindwa kusimamia fedha za Mradi wa Boresha Macho. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Dkt.Ntuli Kapologwe leo wakati wa uzinduziContinue Reading